RUTO: UPINZANI UNACHEZA PATA POTEA
Rais William Ruto ameukosoa muungano wa upinzani kutokana aanachokitaja kuwa kukosa ajenda na kucheza pata potea na masuala muhimu ya wakenya.
Akizungumza kwenye kaunti ya Uasin Gishu wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya mradi wa NYOTA, Rais Ruto amewatahadharisha vijana dhidi ya kutumika na viongozi wa kisiasa anaosema hawana suluhu kwa matatizo ya vijana kama vile ukosefu wa ajira.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































