SINA IMANI NA KALONZO; JOHN MBADI

Mwenyekiti wa chama cha ODM John Mbadi amesema kuwa hana imani na kiongozi wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka akitetea haja ya kufanyika mazungumzo na serikali ya kenya Kwanza.
Mbadi vile vile amemsuta rais Mtaaafu Uhuru Kenyatta kwa madai kwamba alikuwa na nafasi wazi kumsaidia kiongozi wa ODM Raila Odinga ila hilo halikufanyika.
Imetayarishwa na Janice Marete