MSAIDIE KULEA VIPAJI VYA WENGINE

Mshambulizi wa Harambee Starlets Violet Nanjala amerai wachezaji waliopiga hatua kitaaluma na kimaisha kusaidia kulea vipaji vinavyochipuka.
Nanjala ambaye pia anachezea klabu Municipal de Laayoune Football Feminin nchini Morocco ameyasema hayo baada ya kuandaa mashindano ya kukuza vipaji katika Kaunti ya Trans Nzoia.
Wakati huohuo Nanjala anasema ligi ya kina dada nchni inaendelea kuimarik, na kurai serikali na washikadau wote kupiga kuongeza juhudi za kuiimarisha zaidi.
Imetayarishwa na Nelson Andati