ROBERT MATANO AJIVUNIA USHINDI WAKE DHIDI YA HOMEBOYZ
Kocha mkuu wa Sofapaka Robert Matano anajivunia ushindi wa klabu yake wa 2-0 dhidi ya Kakamega Homeboyz katika mechi ya ligi kuu nchini iliyoanadaliwa katika uwanja wa Dandora hapa jijini Nairobi.
Matano, maarifu ‘The Lion’ anamini timu yake kwa sasa ipo imara na inaweza kuonesha ushindani kwenye ligi.
Kwa upande wake, kocha mkuu wa Kakamega Homeboyz John Waw, anasemma timu itaanza kupata matokeo mazuri hivi karibuni.
Imetayarishwa na Nelson Andati
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































