#Local News

RUPHA YASHIKILIA HAKUNA SHA

Wagonjwa wanaotegemea bima ya SHA kulipia huduma za matibabu katika hospitali za kibinafsi wataendelea kuhangaika hadi serikali itakapolipa deni inalodaiwa la zaidi ya shilingi bilioni 70 kama malimbikizi ya malipo chini ya bima ya zamani NHIF.

Ndio msimamo wa hospitali za kibinafsi chini ya muungano wa RUPHA, ambao umeendelea kuilaumu serikali kutokana na mahangaiko wanayopitia wagonjwa hao licha ya hali kwamba wagonjwa hao wamelipia huduma za SHA.

Muungano huo aidha, unadai shilingi bilioni 10.6 kutoka kwa serikali chini ya bima ya SHA.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUPHA YASHIKILIA HAKUNA SHA

DEMBELE ASHINDA TUZO LA BALLON D’OR

RUPHA YASHIKILIA HAKUNA SHA

SERIKALI YAWAONYA WAHADHIRI WANAOGOMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *