#Local News

MAHAKAMA YAMPA WANJIGI DHAMANA

Mahakama ya Milimani imemwachia huru mfanyabiashara Jimi Wanjigi kwa dhamana ya shilingi milioni 10 akisubiri uamuzi kuhusu kuahirishwa kwa kujitetea kwake kutokana na tuhuma za kumiliki bunduki bila leseni.

Akitoa dhamana hiyo, hakimu mkuu Susan Shitubi amemwagiza Wanjigi kuwasilisha paspoti yake ya usafiri mahakamani hadi kesi dhidi yake itakapoamuliwa tarehe 12 mwezi ujao.

Mawakili wa Wanjigi wakiongozwa na Paul Muite, Kalonzo Musyoka na Willis Otieno, wameomba mahakama iahirishe kusikilizwa kwa kesi hiyo wakisema imekumbwa na dosari kuhusiana na ukiukaji wa agizo mahakama kuu lililotolewa kuzuaia kukamatwa kwake.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAHAKAMA YAMPA WANJIGI DHAMANA

SAKATA YA KWARE: MAAFISA 8 GIGIRI WAFUTWA

MAHAKAMA YAMPA WANJIGI DHAMANA

KUVUNJA BUNGE: KOOME ABUNI JOPO, 5

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *