KAUNTI YA KAKAMEGA YAPITISHA SHERIA YA KUKABILIANA NA DHULUMA ZA KIJINSIA

Mashirika yasiyo ya serikali kwenye ukanda wa magaribi ya kenya yameipongeza sewrikali ya kaunti hya kakamega kwa kuonyesha uwezo wa kuithinisha sheria ya kukomesha ukatili wa kijinsia
Ili kuthibiti ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia afisa mshirikishi wa taasisi moja isiyo ya serikali amesma kuwa sheria hiyo itapunguza visa vya wahalifu kuhitilafiana na kesi za ukatili wa kijinsia vile vile kuwalinda waathiriwa.
Imetayarishwa na Janice Marete