#Local News

TUMEWAAJIRI WAKENYA ELFU 400, SERIKALI

Serikali ya Kenya Kwanza imewaajiri wakenya takribani elfu 400 wakiwemo walimu elfu 76,000, huku mikakati zaidi ikiendelea kuwekwa ili kuongeza nafasi za ajira.

Haya ni kulingana na naibu Rais Kithure Kindiki, akiongeza mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu umetoa nafasi elfu 200 huku wakenya zaidi wakiajiriwa kupitia mitandaoni.

Ameyasema haya alipopokezwa ripoti za taasisi mbali mbali za serikali.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

TUMEWAAJIRI WAKENYA ELFU 400, SERIKALI

BABU ATETEA KILIMO, UJENZI

TUMEWAAJIRI WAKENYA ELFU 400, SERIKALI

HISIA ZA MSAMAHA WA RUTO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *