#Local News

ERIC OMONDI AKAMATWA

Maafisa wa polisi jijini Nairobi wamemkamata msanii Eric Omondi alipokuwa akiandamana nje ya majengo ya bunge kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024.

Kulingana na kanda ya video ambayo imesambaa mitandaoni, Omondi amekuwa kwenye maandamano na wenzake wakiwa wamevaa mavazi mekundu

Omondi amekuwa akiandamana kutumia farasi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ERIC OMONDI AKAMATWA

WACHA WATOTO NAIROBI WALE, MAHAKAMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *