SENETA MADZAYO AKATAA NYONGEZA YA MSHAHARA
Kiongozi wa wachache katika Seneti Stewart Madzayo sasa anasema hataki nyongeza yoyote ya mishahara.
Akizungumza katika ukumbi wa Bunge leo Jumatano, Madzayo amekataa nyongeza hiyo iliyopendekezwa huku akiwa na matumaini maseneta wenzake watafuata nyayo zake akisema sio wakati mzuri wa nyongeza.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































