#Local News

MAGAVANA WAILAUMU WIZARA KWA CHANGAMOTO ZA SHA

Mojawapo ya changamoto zinazotatiza utekelezaji wa bima ya afya ya jamii SHA ni hatua ya serikali kuu kukosa kushirikiana na serikali za kaunti kwenye utekelezaji wa bima hiyo, hatua ambayo imeathiri utoaji wa huduma za matibabu chini ya bima hiyo.

Haya ni kwa mujibu wa magavana wakiongozwa mwenyekiti wa baraza la magavana Ahmed Abdullahi, wakiongeza kuwa serikali kuu imekuwa ikiingilia majukumu ya serikali hizo na kuvuruga mpango wa SHA kupitia ucheleweshaji wa malipo kwa hospitali.

Hata hivyo, Waziri wa afya Aden Duale, amesema suala hilo litaangaziwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAGAVANA WAILAUMU WIZARA KWA CHANGAMOTO ZA SHA

RUTO KUHUTUBIA TAIFA BUNGENI

MAGAVANA WAILAUMU WIZARA KWA CHANGAMOTO ZA SHA

MSAADA WA AMBULENSI KUTOKA WHO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *