#Local News

ZAIDI YA 1,000 WAANGAMIA SUDAN

Idadi ya watu walioangamia kwenye mmonyoko wa ardhi katika mlima wa Marra magharibi mwa Sudan imefikia zaidi ya 1,000 na kumuacha mwathiriwea mmoja pekee.

Haya ni kwa mujibu wa vuguvugu la Sudan Liberation Army, ambalo limetoa wito kwa umoja wa mataifa na jamii ya kimataifa kutoa msaada wa dharura ikiwemo uokoaji na utafutaji wa miili.

Mkasa huo ulitokea mwishoni mwa mwezi jana baada ya mvua kubwa katika eneo hilo liliko kwenye jimbo la Darfur.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ZAIDI YA 1,000 WAANGAMIA SUDAN

MCCARTHY AEPUKA MASWALI YA AUSTIN

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *