#Local News

MAREKANI ‘YASIKITISHWA’ NA KENYA

Serikali ya Marekani imeonyesha kusitikitishwa na ilichokitaja kama kudorora kwa hali ya haki za kibinadamu humu nchini mwaka jana, ikinukuu ripoti za mauaji ya kiholela, kutoweka kwa watu, mateso na ukandamizaji wa uhuru wa vyombo vya habari.

Katika ripoti yake ya hivi punde kuhusu mataifa, Marekani imesema serikali ya Rais William Ruto ilitekeleza ukiukaji kadhaa wakati wa maandamano yaliyoongozwa na vijana wa Gen Z mwezi Juni na Julai mwaka jana.

Aidha, ripoti hiyo imetaja kisa cha Julai mwaka jana ambapo mkimbizi wa Uganda alikamatwa jijini Kisumu mbali na raia wengine 36 wa upinzani nchini Uganda wakiwa humu nchini.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAREKANI ‘YASIKITISHWA’ NA KENYA

FAMILIA MURANG’A YALILIA HAKI

MAREKANI ‘YASIKITISHWA’ NA KENYA

GACHAGUA AKATIZA ZIARA MAREKANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *