TUPO TAYARI KWA OLIMPIKI
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya, malkia strikers, Japheth Munala na naibu rais wa shirikisho la voliboli nchini Paul Bitok wamepigia upato timu hiyo kutamba dhidi ya mabingwa mara mbili wa olimpiki brazil, katika mechi ya ufunguzi ya kundi b katika mashindano ya olimpiki.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































