IEBC ILIKUWA AIBU 2022, SULUHISHO ZINAWEZA KUPATIKANA – RAILA

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amesema si mara ya kwanza kuwa na matatizo na IEBC
Raila amesema hayo alipohudhuria kutiwa saini kwa Mswada wa IEBC (Marekebisho) kuwa sheria katika KICC.
Kiongozi wa chama cha ODM ameongeza kuwa katika uchaguzi uliopita, Wakenya walikuwa na aibu kwa kile IEBC ilifanya.
Imetayarishwa na Janice Marete