#Local News

MUSYOKA AKEJELI GUMZO LA SINGAPORE

Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amependekeza rais William Ruto kubadili mfumo wa utawala wa serikali yake iwapo ananuia kuifanya Kenya kuwa miongoni mwa mataifa yenye nguvu kiuchumi duniani mfano wa Singapore.

Akizungumza jijini Nairobi, Musyoka ametolea mfano wa machafuko, ufisadi na kutokujali kama vizingiti kwa azma hiyo, huku akiikosoa serikali kutokana na mfumo wake wa ukopaji wa madeni.

Aidha, ameikosoa kwa madai ya kuchochea vurugu nchini Sudan.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MUSYOKA AKEJELI GUMZO LA SINGAPORE

GATHUNGU AKOSOA UKOPAJI WA SERIKALI

MUSYOKA AKEJELI GUMZO LA SINGAPORE

IEBC: VIJANA HAWAJUI UMUHIMU WA KURA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *