MLINZI WA LIVONDO
Polisi katika eneo la Malava kaunti ya Kakamega wanachunguza tukio ambapo mlinzi wa mwanasiasa Stanley Livondo, amejeruhiwa usoni na kundi la watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.
Imearifiwa kuwa kabla ya hapo, mlinzi huyo alivamiwa na wakazi kwa tuhuma za kuwahonga wapiga kura eneo hilo na kumlazimisha kuvua nguo zote, akishukiwa kuwa na kitita cha pesa.
Livondo amehusisha vurugu hizo na mgombeaji wa DAP-K Seth Panyako.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































