#Sports

AFANDE WAWASILI LIBYA KWA CAF

Klabu ya Police FC imewasili nchini Libya tayari kwa mechi muhimu dhidi ya Al- Hilal ya Sudan katika mechi ya marudiano ya awamu ya mwisho ya kufuzu katika awamu ya makundi ya mechi za klabu bingwa barani Afrika CAF.

Polisi wana kibarua cha kupindua meza baada ya kukubali kichapo cha bao 1:0 nyumbani Ijumaa iliyopita, na watahitaji kushinda na zaidi ya mabao 2 ili kufuzu moja kwa moja kutokana na Al-Hilal kuwa na faida ya goli la ugenini.

Mechi hiyo yah apo kesho itachezewa nchini Libya kutokana na misukosuko ya kisiasa nchini Sudan.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

AFANDE WAWASILI LIBYA KWA CAF

KNCHR YAONYA KUHUSU KEJELI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *