UMOJA WA MATAIFA WAKASHIFU MAUAJI YA WAANDAMANAJI KENYA
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameeleza wasiwasi wake kuhusu ghasia zilizoshuhudiwa wakati wa maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha wa 2024 humu Kenya.
Katika taarifa Guterres amezitaka mamlaka za Kenya kuandaa maandamano ya amani ili kuepusha madhara na vifo vya watu zaidi.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































