#Local News

SHERIA ZA MITANDAO MAHAKAMANI

Mahakama inatarajiwa kutoa mwelekeo kuhusu utekelezaji wa sheria mpya za udhibiti wa mitandao ya kijamii zilizoidhinishwa na Rais William Ruto, baada ya kesi kuwasilishwa mahakamani kupinga utekelezaji huo.

Kwenye kesi hiyo, tume ya kitaifa kuhusu haki za kibinadamu KNHCR na mwimbaji Reuben Kigame wanataka idara husika kama vile afisi ya mwanasheria mkuu wa serikali na bunge la kitaifa kuzuiwa kuzitekeleza sheria hizo.

Sheria zimekosolewa na wanaharakati na viongozi wa upinzani akiwemo jaji mkuu wa zamani David Maraga.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *