#Local News

MAANDAMANO NI HAKI YA WANANCHI

Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu wamejitokeza kukashifu hatua ya maafisa wa polisi kuwafyatulia vitoa machozi waandamanaji jijini Nairobi walioandamana kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024-2025.

Mwanzilishi wa shirika la Mathare Social Justice Center Wanjira Wanjiru amesema kuwa kila mkenya ana haki ya kuandamana kushinikiza serikali itekeleze wajibu wake Wanjiru aidha ameongeza kuwa maandamano ya wakenya ni ishara tosha kuwa wabunge wameshindwa kutekeleza wajibu wao na hivyo maoni ya wakenya yanapaswa kutiliwa maananai.

Imetayarishwa na Janice Marete

MAANDAMANO NI HAKI YA WANANCHI

WAKENYA WAPUMUA, KWA MUDA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *