#Local News

SIASA MBAYA HATARI KWA MAENDELEO, KINDIKI

Kama njia mojwapo ya kuhakikisha kuwa miradi ya maendeleo iliyokwama katika eneo la Meru kutokana na tofauti za kisiasa, viongozi wa Meru wametakiwa kushirikiana ili kuwawezesha wakazi kunufaika na miradi hiyo.

Akizungumza katika kikao na viongozi hao jijini Nairobi, Naibu Rais Kithure Kindiki amesema kuwa baada ya kustawisha uchumi, serikali inalenga kuwekeza katika miradi mbali mbali ikiwemo kilimo ili kuwapa wananchi ajira.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SIASA MBAYA HATARI KWA MAENDELEO, KINDIKI

JUDE APEWA KADI NYEKUNDU

SIASA MBAYA HATARI KWA MAENDELEO, KINDIKI

MBUNGE WA JUJA AKAMATWA NA DCI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *