#Local News

RUTO ATETEA SERIKALI YAKE KASKAZINI

Rais William Ruto ametetea ajenda yake ya maendeleo katika eneo la Kaskazini Mashariki dhidi ya ukosoaji kutoka kwa aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua, akikariri kuwa serikali yake ina mpango wa kuendeleza maeneo yote nchini.

Kwa mujibu wa Gachagua, Ruto hajaweka mikakati ya kutosha kukabili janga la njaa eneo hilo huku akimlaumu kwa madai ya kutotimiza ahadi zake.

Hata hivyo, Ruto na wandani wake wamepuzilia mbali madai hayo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO ATETEA SERIKALI YAKE KASKAZINI

MUSTAKABALI WA SIFUNA NJIA PANDA

RUTO ATETEA SERIKALI YAKE KASKAZINI

WORLD RUGBY SVNS YASIFIA RAGA YA KENYA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *