NILIPIGA KURA YA NDIO NA SIOMBI MSAMAHA; ALFRED KIPRONOH MUTAI ASEMA
Mbunge wa Kerosoi kaskazini Alfred Kipronoh Mutai amesema kwamba hataomba msamaha wakati wabunge wengine wanaendelea kuomba musamaha kufuatia hatua yao ya kuunga mkonoi mswada wa fedha 2024.
Korosoi ameendelea kukashifu uvamizi na uharibifu uluotekelezwa na waandamanaji katika makaazi ya wabunge wenzake
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































