#Local News

OGAMBA AHAKIKISHA SULUHU LIPO

Waziri wa Elimu Julius Ogamba ameonyesha matumaini kwamba mazungumzo baina ya wizara hiyo na muungano wa KUPPET yatazaa matunda, na kuongeza kuwa serikali imetekeleza kikamilifu awamu ya pili ya mkataba wa maelewano na walimu.

Katika taarifa kwa wanahabari, Ogamba amesema kuwa masuala mengine yanaangaziwa na tume ya kuwaajiri walimu TSC

Aidha, amesema licha ya ukosefu wa baadhi ya walimu shuleni, wanafunzi wanaendelea kuripoti katika shule zao kote nchini.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

OGAMBA AHAKIKISHA SULUHU LIPO

RUTO AIDHINISHA RASMI AZMA YA ODINGA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *