#International #Local News

AU YAFUNGUA MILANGO KWA WAGOMBEA WA MWENYEKITI WA AU

Muungano wa Afrika AU umefungua milango yake kwa wagombeaji zaidi katika uchaguzi ujao wa mwenyekiti wa tume ya AU kuwasilisha nakala zao au kujiondoa.

Tarehe hizo mpya zina maana kwamba wapinzani sharti wawasilishe kwa mataifa yao stakabadhi zao za wasifu ,taarifa ya maono na jinsi wanavyonuia kuangazia maswala ibuka barani afrika.

Hatua hii ni ya kwanza kabisa kwa wagombea kuthihirisha azima ya kuhudumu kuwa kiongozi wa afisi kuu ya AU.

Wawaniaji wanne tayari wametangaza wazi kwamba watagombea wadhifa huo ni miongoni mwa kinara wa upinzani wa humuj nchini Raila Odinga.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *