MBUNGE WA SOTIK AMUOMBA RAIS MSAMAHA KWA KUSEMA WANTAM
Mbunge wa Sotik, Francis Sigei, amemuomba msamaha Rais William Ruto baada ya kauli aliyoitoa katika mkutano wa kisiasa mjini Bomet kutafsiriwa kama kuunga mkono kaulimbiu ya upinzani ya ‘WANTAM’. Sigei amesema alikusudia kumhimiza Rais Ruto kuhudumu kwa muhula mmoja zaidi, na wala si muhula mmoja pekee kama kauli yake ilivyoweza kueleweka. Mbunge huyo amesema tayari […]
English 

















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































