HASARA YA MAMILIONI KUFUATIA MOTO KIAMBU

Polisi mjini Kiambu wanaendeleza uchunguzi katika mkasa wa moto ulioteketeza Zaidi ya nyumba 50 mjini humo na kuwaacha mamia ya wafanyabiashara wakikadiria hasara ya mamilioni ya pesa usiku wa kuamkia leo.
Wengi wa waathiriwa ni wamiliki wa eneo hilo na wachuuzi ambao huweka bidhaa zao katika nyumba hizo, ingawa hakuna majeraha yaliyoripotiwa.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa