KAIMU INSPEKTA JENERALI WA POLISI GILBERT MASENGELI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 6 JELA

Mahakama Kuu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali Gilbert Masengeli kifungo cha miezi kwa kosa la kudharau mahakama.
mahakama.
Jaji Lawrence Mugambi ameamuru ajiwasilishe kwa kamishna mkuu wa magereza ili aanze kutumikia kifungo chake baada ya mkuu wa polisi kukosa kuheshimu wito wa mahakama mara saba mfululizo.
Imetayarishwa na Janice Marete