AVIATION FM YAPAA
Aviation Radio ndiyo Gospel Radio Station of the year mwaka wa 2025, baada ya kuibuka mshindi katika tuzo ya Kibali kwenye dhifa iliyoandaliwa Jumamosi.
Akizungumza kwenye sherehe hizo zilizotamalaki shangwe na nderemo, meneja wa kituo hiki Joseph Saasia maarufu kama Yombo, aliahidi kuboreshwa zaidi kwa matangazo ya kituo hiki, akiwahimiza wasikilizaji kuendelea kusikiliza Aviation FM.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































