#Football #Sports

POLICE FC WAZIDI KUIMARIKA, WAONGOZA LIGI KUU FKF KWA POINTI SITA

Police FC wamepiga hatua kubwa kuelekea ubingwa wa Ligi Kuu ya FKF baada ya kuifunga Talanta FC 1-0 na kuongoza kwa pointi sita huku wakibaki na mechi mbili.

Ushindi huo ulisaidiwa na kipigo cha Tusker 7-1 kutoka kwa Sofapaka na sare ya Gor Mahia 0-0 na Murang’a Seal.

David Simiyu alifunga bao pekee la Police .

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *