#Local News

WAACHENI WAKENYA HAI, KK YAAMBIWA

Waziri wa afya Aden Duale ameendelea kujipata chini ya shinikizo za kumtaka ajiuzulu kuhusu madai ya ufisadi katika bima ya afya SHA mbali na kudorora kwa sekta ya afya nchini.

Wabunge wa upinzani wanaogemea vuguvu la Kenya Mpya, wamekariri kuwa ni sharti Duale aondoke afisini la sivyo wawasilishe hoja ya kumtimua bungeni.

Hata hivyo, Duale ametetewa na wabunge wanaoegemea mrengo wa serikali, wanaomtaka akaze Kamba katika kuwakabili wanaoipunja bima hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAACHENI WAKENYA HAI, KK YAAMBIWA

UHABA WA MATABIBU WAATHIRI HUDUMA ZA AFYA

WAACHENI WAKENYA HAI, KK YAAMBIWA

MAGAVANA KUJADILI EGP JUMATATU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *