MAGAVANA WAMWOMBOLEZA ODINGA
Waziri mkuu wa zamani Raila Odinga alikuwa kiongozi mwazi, mtetezi wa ugatuzi, mwanasiasa mwerevu na kigogo aliyepigania haki.
Ndio ujumbe wa baraza la magavana likimwomboleza Odinga, ambaye magavana wamemtaja kama baba wa ugatuzi nchini.
Magavana wamewahimiza wanasiasa wengine kuiga mfano wake.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































