#Football #Sports

CRISTIANO RONALDO KUSTAAFU SOKA LA KIMATAIFA BAADA YA KOMBE LA DUNIA

Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, amethibitisha
kuwa Kombe la Dunia la mwaka 2026 litakuwa ni mwisho wa safari
yake ndefu na yenye mafanikio katika soka la kimataifa.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 40, ambaye amefunga
jumla ya magoli 953 katika ngazi ya klabu na timu ya taifa, amesema
anapanga kustaafu soka la kulipwa ndani ya mwaka mmoja au miwili
ijayo, baada ya zaidi ya miaka ishirini ya kucheza katika kiwango cha
juu.

Ronaldo amesema kwamba Kombe la Dunia la 2026, litakalofanyika
Canada, Mexico na Marekani, litakuwa ni jukwaa lake la mwisho
kuwakilisha taifa la Ureno kwenye mashindano makubwa ya
kimataifa.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

CRISTIANO RONALDO KUSTAAFU SOKA LA KIMATAIFA BAADA YA KOMBE LA DUNIA

RUTO: NITAKOMBOA UKAMBANI KUTOKA UPINZANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *