#Local News

KUPPET YAKIUKA AGIZO LA MAHAKAMA LA KUSITISHA MGOMO

Muungano wa walimu wa sekondari na vyuo vya kadri KUPPET umeapa kuendeleza mgomo wao hadi serikali itakapotekeleza malalamishi yao yote licha ya mahakama ya leba kuwaagiza kusitisha mgomo na kurejea kazini hadi kesi iliyowasilishwa na tume ya kuwaajiri walimu TSC itakaposikilizwa na kuamuliwa.

Mahakama ya leba imekitaka chama cha KUPPET kuwasilisha majibu ya kesi dhidi yao ndani ya siku saba
Kesi hiyo itatajwa tena tarehetano mwezi September mwaka huu.

Muungano wa KUPPET kupitia katibu mkuu wao Akelo Misori umeahapa kupuuza maagizo yote na kususia kazi hadi pale malalamishi yao yote yatasikilizwa na kutekelezwa.

Imetayarishwa na Janice Marete

KUPPET YAKIUKA AGIZO LA MAHAKAMA LA KUSITISHA MGOMO

WAZIRI WA AFYA KAUNTI YA TRANSNZOIA AWATAKA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *