KAUNTI ZAPUNGUZIWA MGAOMGAOKAUNTI ZAPUNGUZIWA MGAO
Huduma muhimu katika ngazi za kaunti zinatazamiwa kuathiriwa na hasara ya bilioni 13.5 zilizokuwa zimetengewa kauni za ugavi wa mapato.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa baraza la magavana Ahmed Abdulahi serikali za kaunti zitatatizika kuafikia makubaliano muhimu ikiwa ni Pamoja na CBA ya madaktari iliyotiwa Saini nao baada yao kusitisha mgomo wao ikibainika kuwa fedha zilizokusudiwa kwa zoezi hilo kwa sasa zimeondolewa.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































