#Local News

RUTO: AFRIKA HAITAKUBALI KUBAGULIWA UN

Rais William Ruto amewahimiza viongozi wa Afrika kuungana katika juhudi zao za kushinikiza mageuzi katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.

Rais ambaye yuko jijini New York kuhudhiria kikao cha 80 cha baraza kuu la umoja wa mataifa maarufu kama UNGA, amesema haitakubalika kwa Afrika kuendelea kubaguliwa katika baraza hilo.

Amewataka viongozi hao kushinikiza kupitia ushirikiano wao wa taifa kwa taifa au hata kikanda ili kuleta mageuzi hayo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO: AFRIKA HAITAKUBALI KUBAGULIWA UN

MAHANGAIKO YA SHA SIKU YA PILI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *