MBINU ZA SERIKALI DHIDI YA MAANDAMANO
Wawakilishi wa kike wanaoegemea mrengo wa Kenya Kwanza wameanza kuzuru maeneo mbali mbali wakiwarai vijana kusitisha maandamano na kukubali mazungumzo na Rais William Ruto.
Wakizungumza na Beatrice Adagala wa Vihiga, viongozi hao wamesema maandamano yanaathiri uchumi, wakiwarai wazazi kuwashawishi wanao ili wampe rais muda wa kutekeleza matakwa yao.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































