#Local News

WAUGUZI WATOA ILANI NYINGINE YA MGOMO

Rais William Ruto amewataka wanaoshinikiza kuondoka kwake mamlakani kutumia mbinu zinazokubalika kisheria.

Akizungumzia machafuko yaliyoshuhudiwa wakati wa maandamano ya jumatano rais anasema katiba iko wazi kuhusu hatamu za uongozi na kuwataka wanaolenga kuchukua uongozi kuuza sera zao kwa wakenya na kusubiri wakati wa uchaguzi.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

WAUGUZI WATOA ILANI NYINGINE YA MGOMO

RUTO AWAJIBU WANAOMTAKA AONDOKE

WAUGUZI WATOA ILANI NYINGINE YA MGOMO

UBONGO WA MCHUUZI KARIUKI WAFA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *