RIPOTI YA IMLU KUHUSU MAUAJI VITUONI
Watu 17 walifariki katika seli za polisi huku vifo vingine 59 vikihusishwa na na polisi kutumia nguvu kupita kiasi katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
Katika ripoti yake, shirika huru la kimatibabu IMLU limeitaka serikali kuchukua hatua, ikizingatiwa kuwa nyingi ya familia za waathiriwa bado zinasaka haki.
Haya yanajiri huku seneti ikijadili hoja kuhusu sheria ya kuweka kamera za CCTV kwenye seli za polisi kuzuia vifo hivyo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 

























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































