MBINU ZA RAILA KUONDOA UMASKINI
Kinara wa ODM Raila Odinga amewataka wakenya kukumbatia hulka ya kuweka akiba ya mapatao yao ili kujiondoa kwenye lindi la umaskini.
Odinga ambaye amezungumza kwenye hafla moja na Rais William Ruto katika chuo kikuu cha Cooperative, amesema hatua hiyo itawawezesha wakenya kuimarika kiuchumi.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































