#Local News

MWANAFUNZI AFARIKI BAADA YA KUPIGWA NA WAJOMBA

Polisi Nyamira wanachunguza kifo cha Brian Mogaka (22), aliyefariki baada ya kupigwa viboko na mjomba zake katika kijiji cha Nyankono, North Mugirango.

Mogaka, aliyesimamishwa masomo kwa madai ya matumizi ya mihadarati, anadaiwa kushambuliwa baada ya mamake kuwaomba ndugu zake kumwadhibu.

Polisi wa Ekerenyo wamepeleka mwili wake katika hifadhi ya maiti kwa uchunguzi zaidi.

Imetayarishwa na Janice Marete

MWANAFUNZI AFARIKI BAADA YA KUPIGWA NA WAJOMBA

ARGENTINA YAFUZU KWA KOMBE LA DUNIA

MWANAFUNZI AFARIKI BAADA YA KUPIGWA NA WAJOMBA

KQ YAPATA FAIDA YA DOLA MILIONI 41.7

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *