#Local News

WAKAZI WA NYAHURURU WAILAUMU SERIKALI YA LAIKIPIA KWA KUTOKARABATI BARABARA

Wakaazi wa mtaa wa mabanda wa Maina mjini nyahururu wanaitaka serikali ya kaunti ya Laikipia kuzifanyia ukarabati barabara za eneo hilo kwa madai kwamba zimeharibika kiasi cha kutopitika.

Kwa mujibuj wa wakaazi hao licha ya serikali ya kaun ti hiyo kupokea zaidi ya shilingi milioni 800 kukarabati barabra za kaunti , hawajanufaika na miradi yeyote ya maendeleo katika mtaa huo.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAKAZI WA NYAHURURU WAILAUMU SERIKALI YA LAIKIPIA KWA KUTOKARABATI BARABARA

WIZARA YA AFYA YATHIBITISHA KISA CHA TANO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *