BARINGO KUBORESHA AFYA

Serikali ya kaunti ya Baringo imewapa mafunzo maalum wahudumu wa afya kuhusiana na jinsi ya kuwashughulikia akina mama wajawazito na wakati wa kujifungua na Watoto wachanga.
Kwa mujibu wa mkurugenzi wa idara ya afya katika serikali hiyo Elizabeth Kigen, jumla ya wahudumu 95 wa afya kutoka vituo vya afya 55 wanalengwa kwenye zoezi hilo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa