MZOZO WA NYAMIRA WAPATA DAWA
Hatimaye mzozo wa uongozi kwa kipindi cha zaidi ya miezi 10 katika bunge la kaunti ya Nyamira umeonekana kufikia kikomo baada ya Thaddeus Nyabara kuapishwa rasmi kuwa spika mpya wa bunge hilo.
Wakati uo huo, Duke Onyari amekabidhiwa jukumu la kusimamia afisi ya karani wa bunge hilo.
Nyabara abnachukua uongozi huo baada ya aliyekiwa spika Enock Okero kutimuliwa Septemba mwaka jana.
Imetayrishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































