#uncategorized

POLISI WALIOKABILI WAANDAMANAJI HAWAKUPEWA CHAKULA,YASEMA IPOA

Polisi waliotumwa kukabili waandamanaji wakati wa maandamano ya Juni 25 na Julai 7 hawakupewa chakula na maji ya kutosha.

Mamlaka ya kuangazia utendakazi wa polisi Ipoa inasema maafisa hao waliotumwa kutoa ulinzi kwa majengo na taasisi za serikali maslahi yao hayakuangaziwa ipasavyo.

Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja ametakiwa kuhakikisha bajeti ya kutosha imewekwa kushughulikia polisi wanaotumwa nje wakati wa maandamano.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

POLISI WALIOKABILI WAANDAMANAJI HAWAKUPEWA CHAKULA,YASEMA IPOA

KEMSA YATAMBUA KAUNTI 11 BORA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *