#Local News

WALIMU WAKUU WA SHULE ZA UPILI WATAKA NYONGEZA YA MISHAHARA KWA KUSIMAMIA JSS

Chama cha Kitaifa cha Walimu nchini (KNUT) kinaitaka serikali kukagua mishahara ya wakuu wa shule za msingi, ambao sasa wanaongoza shule za sekondari ya msingi (JSSs) chini ya Mtaala unaozingatia Umahiri (CBC).

Akizungumza wakati wa kongamano la kila mwaka la Chama cha Walimu Wakuu wa Shule za Msingi (KEPSHA) mjini Mombasa, Katibu Mkuu wa KNUT Collins Oyuu amesema wakuu wa shule sasa wana majukumu mengi zaidi kuliko hapo awali.

Mwenyekiti wa KEPSHA Johnson Nzioka amesema kwa miaka miwili iliyopita tangu Januari 2023, wamepewa jukumu la ziada la kuongoza JSS bila nyongeza yoyote ya mishahara.

Imetayarishwa na Janice Marete

WALIMU WAKUU WA SHULE ZA UPILI WATAKA NYONGEZA YA MISHAHARA KWA KUSIMAMIA JSS

KENYA YATOA HATI KWA VYUO VIKUU VIWILI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *