#Local News

UJUMBE WA RUTO, RAILA KWA GEN Z

Rais William Ruto na kinara wa Azimio Raila Odinga wamesema kwamba matatizo yanayolikabili taifa yatatatuliwa kwa njia ya mazungumzo, baadhi ya masuala ya kuangaziwa yakiwa ni ufisadi, madeni ya taifa, usimamizi wa uchumi na ukosefu wa ajira.

Kikao cha mazungumzo pia kitakuwa na wawakilishi wa sekta mbali mbali kama vile vyama vya miungano ya wataalamu, wanasiasa, viongozi wa kidini na wanaharakati.

Ruto na Odinga wamewataka vijana kuwateua watu 50 kushiriki kikao hicho cha watu 150 kitakachodumu kwa siku sita.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

UJUMBE WA RUTO, RAILA KWA GEN Z

RUTO AFUNGUA NJIA KWA IEBC

UJUMBE WA RUTO, RAILA KWA GEN Z

KISUNZI CHA BARUA ZA MATABIBU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *