GAVANA NATEMBEYA ASEMA KAUNTI YA TRANSNZOIA INA UMASIKINI WA HALI YA JUU

Gavana wa kaunti ya Transnzoia George Natembeya ameibua madai kwamba licha ya kaunti hiyo kuwa gala la kitaifa kwa kuwa na arthi kilomita 515 000 mraba yenye rotuba kaunti hiyo ina umasikin I wa hali ya juu wa asilimia 58.7.
Kulingana na Natembeya hali hiyo inachochewa na ukosefu wa raslimali za kutosha kuwawezesha wakulima ,mizozo wa umiliki wa mashamba, viongozi wa awali kutofanya kipaumbele kilimo miongoni mwa mambo mengine.
Natembeya aidha amesema kuwa serikali yake imejitolea kubadilisha hali ya sasa kupitia hazina nawiri za kaunti, zabuni za serikali na mafunzo kuhusu mbinu za kisasa za kilimo biashara na vile vile elimu kwa Watoto.
Imetayarishwa na Janice Marete