#Local News

RAIS AONYA WABUNGE NA MASENETA WAFISADI

Rais William Ruto ameonya kuwa wabunge na maseneta wanaojihusisha na ufisadi kwa kuitisha pesa kutoka kwa maafisa wa serikali wanaofika mbele yao watachukuliwa hatua.

Akiongea wakati a mkao wa pamoja wa wabunge wa chama cha UDA na ODM rais anasema amepokea habari kuhusu sakata za ufisadi zinazoendelea katika bunge la taifa na lile la seneti.

Rais ametaja kisa cha hivi punde ambapo maseneta walipokea kiasi cha shilingi milioni 150 ili kumpendelea afisa aliyefika mbele yao.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *